Monday, June 17, 2013

HII ILIKUWA ENEO LA JUU AMBAKO NAFANYA MATAYARISHO YA KUPANDA MITI AINA YA MITIKI


KWA KWELI TUWE MAKINI NA MAZINGIRA BILA HIVYO NCHI YETU ITAKUWA JANGWA MAANA BILA KUPANDA MITI NA KUHIFADHI MAZINGIRA YETU SISI WENYEWE UOTO WA ASILI UTAPOTEA TUSIPENDE KILA KITU TUFANYIWE JAMANI KWANI MUNGU AMETUPA KILA KITU SISI WANADAMU KWA HIYO MISITU NI UTAJIRI MKUBWA SANA

Friday, May 31, 2013

HUU NI MTO PANGANI SEHEMU AMBAYO UMETOKEA


BAADA YA KUFANYA SAFARI NDEFU SANA TOKA IRINGA HADI PANGANI MJINI NA KUELEKEA AMBAKO MTO UMETOKEA KWA KWELI MTO HUU NI MZURI KWA KILIMO CHA UMWANGILIAJI SIJUI SEREKALI YETU INAWAZA NINI? MAANA HUU MTO UNA MAJI KIPINDI CHOTE .CHA KUSHANGAZA WAKAZI WENGI HUU MTO WANAUTUMIYA KWA KILIMO CHA MINAZI TU AMBACHO HUCHUKUA MIAKA 5 HADI KUVUNA NA BAADA YA HAPO UTAKUWA UNAVUNA KILA BAADA YA MIEZI MITATU SASA KWANINI ? SEREKALI YETU ISIWAPE WAKAZI WA MAENEONE HAYO KWA KILIMO CHA KISASA ILIWAWE NA HALI NZURI ZA MAISHA UJUUE MIMI HUWA NAPENDA SANA KUTEMBEA SEHEMU TOFAUTI TOFAUTI KWA AJILI YA KUJIFUNZA MAISHA YA WATU NA MAZINGIRA KWA JUMLA

MGOBASA DIGITAL STUDIO: BAADHI YA WAUMINI WA KKT MJI MWEMA MAKAMBAKO WAKIT...

MGOBASA DIGITAL STUDIO: BAADHI YA WAUMINI WA KKT MJI MWEMA MAKAMBAKO WAKIT...: KAMA TUNAVYOFAHAMU JUKUMU LA KUJENGA SEHEMU ZA KUABUDIA NI LETU SISI WENYEWE KWA HIYO LAZIMA TUJITOE KATIKA KUJENGA NYUMBA ZA IBADA NA ...

Monday, May 6, 2013

BAADHI YA WAUMINI WA KKT MJI MWEMA MAKAMBAKO WAKITOA MCHANGO JUU YA UJENZI WA ENEO LA KUSALIA WATOTO NA OFISI ZA USHARIKA


KAMA TUNAVYOFAHAMU JUKUMU LA KUJENGA SEHEMU ZA KUABUDIA NI LETU SISI WENYEWE KWA HIYO LAZIMA TUJITOE KATIKA KUJENGA NYUMBA ZA IBADA NA HAWA NI BAADHI TU WAKITOA MICHANGO YAO KAMA TUNAVYOJUA HIZI MALI SIO ZETU BALI NI DHAMANA TU TULIYOPIWA NA MUNGU KWA HIYO TURUDISHE SEHEMU YA MALI TULIYOPEWA NA MUNGU NAYE ATAPE KUTUPA MARA DUFU ,

Sunday, April 14, 2013

HILI NI KANISA LA MJI MWEMA KKKT MAKAMBAKO

HILI KANISA LIMEJENGWA KWA MICHANGO YA WAUMINI WA MJI MWEMA MAKAMBAKO KWA KWELI NI KANISA ZURU NA NI LA KISASA AMBALO HUUINGI WAUMINI MIA NNE KWA WAKATI MMOJA UJUE HILI NI LA KUJIVUNIA SANA KWANI ZAMANI ILIKUWA HATUWEZI KUFANYA JAMBO HADI TUPATE MISAADA KUTOKA NJE MIMI NASEMA TUKIWA NA MAWAZO YA KUOMBAOMBA KILA KITU ITAKUWA VIGUMU KUPATA MAENDELEO NA TUNAPA FEZEHEA SANA NA AIBU KUBWA NAAMINI KILA JAMBO LINAWEZEKANA CHA MSINGI TUWE NA UMOJA TU KATIKA KILA JAMBO

Sunday, March 31, 2013

huu ni mlima kitonga ambao unapatikana mkoani lringa tanzania


Huu mlima kwa kweli mgari huu yana tumia mda mrefu kupanda na kushuka kwa sababu ni mkali mtelemko wake na una kona nyingi sana na kwa upande wa kulia kama unakuja lringa ni korongo lenye ure wa mita mia mbili kushuka chini kwa hiyo waendesha magari huwa makini sana hapa

Wednesday, March 13, 2013

Thursday, March 7, 2013

Monday, February 25, 2013

MSANII WA VITUKO SHOW AKIWA MJINI MAKAMBAKO

KWA KWELI KINYAMBI NI MSANII AMBAYE HANA MARINGO ,MAJIVUNO ,KUJIONA KWA MTAZAMO WANGU YUKO KARIBU NA WATU WA KILA RIKA NA KWAUPENDO WAKE HUU UTAFIKA MBALI CHA MSINGI AJIBIDIISHE SANA

Monday, February 11, 2013

CHIFU MKWA NI CHIFU MAARUFU KULIKO WOTE HAPA TZ

HUU NI MTI AMBAO ALIKUWA AKIUTUMIYA KWA AJILI YA TAMBIKO NA INASEMEKANA KUNA NYOKA MKUBWA AMBAYE HUTOKA KWA MWAKA MARA MOJA KWENDA KUNYWA MAJI NA HII NI MITI NMIWLI ILA IKO KWA PAMOJA

Thursday, January 31, 2013

HISTORIA FUPI YA CHIFU MKWAWA

Hii ni picha Chifu Mkwawa kwa kweli huyu ni chifu ambaye alipambana na Wajerema kwa muda wamiaka mingi na walipata upinzani mkubwa sana kutoka kwakwe na alikuwa ni chifu mwenye msimamo mkali sana alipokuwa vitani ila sababu kubwa ilishindwa vita ni njaa na ilimbidi ateuwe baadhi ya askari wake kujisalimisha kwa Wajerumani ili waweze kupata chakula na kiba silaha .Sababu iliyomfanya mkwawa kubadili dini alikuwa rafiki wa sultani Abushiri na hii ilimsaidia kupata sila na yeye aliwapa nyara mbalimbali ,kwa kweli ni chifu ambaye alikuwa shujaa na ndio maana aliamuru kujiuwa kabla ya kushikwa na Wajerumani ila ukitaka kujua historia yake zaidi tembelea katka makumbusho yake Mkoa Iringa Tanzania .

Saturday, January 26, 2013

Thursday, January 24, 2013

HUU NDIO USAFIRI WA TRAIN FROM DAR TO ZAMBIA


Mimi nashindwa kupatajibu kabisa enze ya mzee Nyerere alijitahidi kuweka miundombinu mingi sana ,kama vile viwanda ,Reli,Bandari,na mali asili zote kziwekea ulinzi makali na hadi leo hii baadhi vipo ila kwa muda huu alivyoviacha vyote vimekfa hivi kwa nini? Tenamuda huu tunaomi wengi sana baada Nchi kuwa na afanikio mengi inazidi kudidimia tusipo kuwa makini vizazi vinavyokuja vitakuwa na maisha mangumu sana na watakuwa omba omba mara dufu .jamani tujenge nchi yetu kwa kwa faida yetu sio kwa faidam ya wachache




Tuesday, January 22, 2013

Kwa kweli sijuui tunakwenda wapi? hii video inatishashasana hawa wanao wachuma wenzao kwani wao wako safi na ni dini gani hii jamani inayosema hiyo mwenye mamlaka ni mungu peke yake ,hata kama mtu ni mchawi mwacheni mungu ndiyemuweza wa yote hapa chini ya jua

Thursday, January 17, 2013

Friday, January 11, 2013

VIJANA WA KKKT JIMBO LA MAKAMBAKO WAKIWA WANAPANDA MITI

TUNAFAHAMU KUWA MITI NI UHAI KWA BINADAMU KWA HIYO NDIO MAANA HAWA VIJANA WAMERAMUA KUANDA MITI KWA HIYO WEWE NA MIMI TUNA JUKUMU LA KUFANYA HIVYO SIO KILA KITU SEREKALI KWANI SEREKALI NI WEWE NA MIMI .

Wednesday, January 9, 2013

MGOBASA DIGITAL PHOT STUDIO MAKAMBAKO

Tunatoa huduma mbali mbali kama vile kusafisha picha za kwenye flash, memory card, na ambazo zilizotumwa kwa email huduma zetu ni bora .karibuni wote