Thursday, January 24, 2013
HUU NDIO USAFIRI WA TRAIN FROM DAR TO ZAMBIA
Mimi nashindwa kupatajibu kabisa enze ya mzee Nyerere alijitahidi kuweka miundombinu mingi sana ,kama vile viwanda ,Reli,Bandari,na mali asili zote kziwekea ulinzi makali na hadi leo hii baadhi vipo ila kwa muda huu alivyoviacha vyote vimekfa hivi kwa nini? Tenamuda huu tunaomi wengi sana baada Nchi kuwa na afanikio mengi inazidi kudidimia tusipo kuwa makini vizazi vinavyokuja vitakuwa na maisha mangumu sana na watakuwa omba omba mara dufu .jamani tujenge nchi yetu kwa kwa faida yetu sio kwa faidam ya wachache
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment