Friday, May 31, 2013

HUU NI MTO PANGANI SEHEMU AMBAYO UMETOKEA


BAADA YA KUFANYA SAFARI NDEFU SANA TOKA IRINGA HADI PANGANI MJINI NA KUELEKEA AMBAKO MTO UMETOKEA KWA KWELI MTO HUU NI MZURI KWA KILIMO CHA UMWANGILIAJI SIJUI SEREKALI YETU INAWAZA NINI? MAANA HUU MTO UNA MAJI KIPINDI CHOTE .CHA KUSHANGAZA WAKAZI WENGI HUU MTO WANAUTUMIYA KWA KILIMO CHA MINAZI TU AMBACHO HUCHUKUA MIAKA 5 HADI KUVUNA NA BAADA YA HAPO UTAKUWA UNAVUNA KILA BAADA YA MIEZI MITATU SASA KWANINI ? SEREKALI YETU ISIWAPE WAKAZI WA MAENEONE HAYO KWA KILIMO CHA KISASA ILIWAWE NA HALI NZURI ZA MAISHA UJUUE MIMI HUWA NAPENDA SANA KUTEMBEA SEHEMU TOFAUTI TOFAUTI KWA AJILI YA KUJIFUNZA MAISHA YA WATU NA MAZINGIRA KWA JUMLA

No comments:

Post a Comment