Thursday, January 31, 2013

HISTORIA FUPI YA CHIFU MKWAWA

Hii ni picha Chifu Mkwawa kwa kweli huyu ni chifu ambaye alipambana na Wajerema kwa muda wamiaka mingi na walipata upinzani mkubwa sana kutoka kwakwe na alikuwa ni chifu mwenye msimamo mkali sana alipokuwa vitani ila sababu kubwa ilishindwa vita ni njaa na ilimbidi ateuwe baadhi ya askari wake kujisalimisha kwa Wajerumani ili waweze kupata chakula na kiba silaha .Sababu iliyomfanya mkwawa kubadili dini alikuwa rafiki wa sultani Abushiri na hii ilimsaidia kupata sila na yeye aliwapa nyara mbalimbali ,kwa kweli ni chifu ambaye alikuwa shujaa na ndio maana aliamuru kujiuwa kabla ya kushikwa na Wajerumani ila ukitaka kujua historia yake zaidi tembelea katka makumbusho yake Mkoa Iringa Tanzania .

No comments:

Post a Comment