Hii ni picha Chifu Mkwawa kwa kweli huyu ni chifu ambaye alipambana na Wajerema kwa muda wamiaka mingi na walipata upinzani mkubwa sana kutoka kwakwe na alikuwa ni chifu mwenye msimamo mkali sana alipokuwa vitani ila sababu kubwa ilishindwa vita ni njaa na ilimbidi ateuwe baadhi ya askari wake kujisalimisha kwa Wajerumani ili waweze kupata chakula na kiba silaha .Sababu iliyomfanya mkwawa kubadili dini alikuwa rafiki wa sultani Abushiri na hii ilimsaidia kupata sila na yeye aliwapa nyara mbalimbali ,kwa kweli ni chifu ambaye alikuwa shujaa na ndio maana aliamuru kujiuwa kabla ya kushikwa na Wajerumani ila ukitaka kujua historia yake zaidi tembelea katka makumbusho yake Mkoa Iringa Tanzania .
Thursday, January 31, 2013
Saturday, January 26, 2013
Thursday, January 24, 2013
HUU NDIO USAFIRI WA TRAIN FROM DAR TO ZAMBIA
Mimi nashindwa kupatajibu kabisa enze ya mzee Nyerere alijitahidi kuweka miundombinu mingi sana ,kama vile viwanda ,Reli,Bandari,na mali asili zote kziwekea ulinzi makali na hadi leo hii baadhi vipo ila kwa muda huu alivyoviacha vyote vimekfa hivi kwa nini? Tenamuda huu tunaomi wengi sana baada Nchi kuwa na afanikio mengi inazidi kudidimia tusipo kuwa makini vizazi vinavyokuja vitakuwa na maisha mangumu sana na watakuwa omba omba mara dufu .jamani tujenge nchi yetu kwa kwa faida yetu sio kwa faidam ya wachache
Tuesday, January 22, 2013
Sunday, January 20, 2013
Thursday, January 17, 2013
TUNABIDI TUFAHAMU JUU YA MAJUKUMU YETU KWA WATOTO WETU MAANA LEO HII TWASHINDWA KUKAA NA FAMILIA ZETU
HUWA NAPENDA KUKAA NA FAMILIA YANGU ILI KUPATA MAWAZO YA WATOTO WANGU NA MKE WA TUMETOKA WAPI NA TUNAKWENDA WAPI
Monday, January 14, 2013
Friday, January 11, 2013
VIJANA WA KKKT JIMBO LA MAKAMBAKO WAKIWA WANAPANDA MITI
TUNAFAHAMU KUWA MITI NI UHAI KWA BINADAMU KWA HIYO NDIO MAANA HAWA VIJANA WAMERAMUA KUANDA MITI KWA HIYO WEWE NA MIMI TUNA JUKUMU LA KUFANYA HIVYO SIO KILA KITU SEREKALI KWANI SEREKALI NI WEWE NA MIMI .
Thursday, January 10, 2013
Wednesday, January 9, 2013
MGOBASA DIGITAL PHOT STUDIO MAKAMBAKO
Tunatoa huduma mbali mbali kama vile kusafisha picha za kwenye flash, memory card, na ambazo zilizotumwa kwa email huduma zetu ni bora .karibuni wote
Tuesday, January 8, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)