Friday, May 31, 2013

HUU NI MTO PANGANI SEHEMU AMBAYO UMETOKEA


BAADA YA KUFANYA SAFARI NDEFU SANA TOKA IRINGA HADI PANGANI MJINI NA KUELEKEA AMBAKO MTO UMETOKEA KWA KWELI MTO HUU NI MZURI KWA KILIMO CHA UMWANGILIAJI SIJUI SEREKALI YETU INAWAZA NINI? MAANA HUU MTO UNA MAJI KIPINDI CHOTE .CHA KUSHANGAZA WAKAZI WENGI HUU MTO WANAUTUMIYA KWA KILIMO CHA MINAZI TU AMBACHO HUCHUKUA MIAKA 5 HADI KUVUNA NA BAADA YA HAPO UTAKUWA UNAVUNA KILA BAADA YA MIEZI MITATU SASA KWANINI ? SEREKALI YETU ISIWAPE WAKAZI WA MAENEONE HAYO KWA KILIMO CHA KISASA ILIWAWE NA HALI NZURI ZA MAISHA UJUUE MIMI HUWA NAPENDA SANA KUTEMBEA SEHEMU TOFAUTI TOFAUTI KWA AJILI YA KUJIFUNZA MAISHA YA WATU NA MAZINGIRA KWA JUMLA

MGOBASA DIGITAL STUDIO: BAADHI YA WAUMINI WA KKT MJI MWEMA MAKAMBAKO WAKIT...

MGOBASA DIGITAL STUDIO: BAADHI YA WAUMINI WA KKT MJI MWEMA MAKAMBAKO WAKIT...: KAMA TUNAVYOFAHAMU JUKUMU LA KUJENGA SEHEMU ZA KUABUDIA NI LETU SISI WENYEWE KWA HIYO LAZIMA TUJITOE KATIKA KUJENGA NYUMBA ZA IBADA NA ...

Monday, May 6, 2013

BAADHI YA WAUMINI WA KKT MJI MWEMA MAKAMBAKO WAKITOA MCHANGO JUU YA UJENZI WA ENEO LA KUSALIA WATOTO NA OFISI ZA USHARIKA


KAMA TUNAVYOFAHAMU JUKUMU LA KUJENGA SEHEMU ZA KUABUDIA NI LETU SISI WENYEWE KWA HIYO LAZIMA TUJITOE KATIKA KUJENGA NYUMBA ZA IBADA NA HAWA NI BAADHI TU WAKITOA MICHANGO YAO KAMA TUNAVYOJUA HIZI MALI SIO ZETU BALI NI DHAMANA TU TULIYOPIWA NA MUNGU KWA HIYO TURUDISHE SEHEMU YA MALI TULIYOPEWA NA MUNGU NAYE ATAPE KUTUPA MARA DUFU ,