KWA KWELI TUWE MAKINI NA MAZINGIRA BILA HIVYO NCHI YETU ITAKUWA JANGWA MAANA BILA KUPANDA MITI NA KUHIFADHI MAZINGIRA YETU SISI WENYEWE UOTO WA ASILI UTAPOTEA TUSIPENDE KILA KITU TUFANYIWE JAMANI KWANI MUNGU AMETUPA KILA KITU SISI WANADAMU KWA HIYO MISITU NI UTAJIRI MKUBWA SANA