HILI KANISA LIMEJENGWA KWA MICHANGO YA WAUMINI WA MJI MWEMA MAKAMBAKO KWA KWELI NI KANISA ZURU NA NI LA KISASA AMBALO HUUINGI WAUMINI MIA NNE KWA WAKATI MMOJA UJUE HILI NI LA KUJIVUNIA SANA KWANI ZAMANI ILIKUWA HATUWEZI KUFANYA JAMBO HADI TUPATE MISAADA KUTOKA NJE MIMI NASEMA TUKIWA NA MAWAZO YA KUOMBAOMBA KILA KITU ITAKUWA VIGUMU KUPATA MAENDELEO NA TUNAPA FEZEHEA SANA NA AIBU KUBWA NAAMINI KILA JAMBO LINAWEZEKANA CHA MSINGI TUWE NA UMOJA TU KATIKA KILA JAMBO