Sunday, March 31, 2013
huu ni mlima kitonga ambao unapatikana mkoani lringa tanzania
Huu mlima kwa kweli mgari huu yana tumia mda mrefu kupanda na kushuka kwa sababu ni mkali mtelemko wake na una kona nyingi sana na kwa upande wa kulia kama unakuja lringa ni korongo lenye ure wa mita mia mbili kushuka chini kwa hiyo waendesha magari huwa makini sana hapa
Wednesday, March 13, 2013
MGOBASA DIGITAL STUDIO: TULIKUWA TUNATOKA MAK AMBAKO TUNAELEKEA DAR
MGOBASA DIGITAL STUDIO: TULIKUWA TUNATOKA MAK AMBAKO TUNAELEKEA DAR: TULISIMA HAPA KWA AJILI YA KUBADILISHA TAIRI NA TULIKUWA KARIBU NA KUFIKA MIKUMI
SHEREHE YA MWANANGU WA KWANZA YA UBAT ZO
Mungu akupe ufahamu wa kljua neno lake kwan mungu amema kwenye maandko yake kla ataye litii neno lake naye atakuwa naye mlele
Thursday, March 7, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)